Google PlusRSS FeedEmail

WASANII WA KENYA WAIUNGA MKONO KENYA COPYRIGHT BOARD (KECOBO)

Wasanii wa Kenya wameiunga mkono Kenya Copyright Board (KECOBO) kusimamisha utendaji wa Music Copyright Society of Kenya (MCSK) licha ya kuwepo kwa amri ya mahakama na kushauri ingekua poa wasanii wenyewe wakachaguana kukiongoza chama cha Music Copyright Society of Kenya (MCSK)
Kufungiwa huko kwa Music Copyright Society of Kenya (MCSK) kumetokana na chama hicho kushindwa kutimiza majukumu yake na matumizi mabaya ya fedha Coz mwaka jana walikusanya milioni 185 za Kenya, na kutumia milioni 137 za Kenya kwa kufanyia kazi na milioni 53 za Kenya kama mishahara yao

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging