![]() |
| Gari aina ya Maybatch Exelero ambalo rapa Birdman anadaiwa. |
Mwezi April mwaka Rapa na bosi wa label ya Cash Money Brian "Birdman" alijifagilia kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu gari lake jipya aina ya Maybach Exelero lenye thamani ya dola milioni nane, aina hiyo ya gari ilitengenezwa mwaka 2005 kujaribia matairi aina ya Fulda.
Hata hivyo gari lenye uwezo wa hali ya juu bado liko chini ya Mfanyabiashara kutoka Ulaya Arnaud Massartic, ambaye aliwataarifu kampuni iliyotengeneza gari hilo kuwa Birdman bado hajamalizia malipo.
"Are there notes on some of his cars?" Stromvig asked Forbes. "Sure. But there's probably a note on your car, too."
Earlier this year, Forbes estimated Birdman's fortune at $100 million -- a figure the New Orleans native found insultingly low. He believes he's worth anywhere between $250 million $500 million.
Next month, the music mogul plans to bet more than a million on boxer Floyd Mayweather's bout with Victor Ortiz.








