C - PWAA AL IVYOFANYA VYEMA KWENYE BBA Posted on by Unknown Msanii Khalfan Ilunga almaharufu Cpwaa kwenye picha siku aliyoweka historia ya kuwa msanii wa pili kutoka Tanzania kupiga shoo katika fainali za Big Brother Amplified 2011.Alitanguliwa na mwanadada Shaa...