Msanii wa Jazzy Afro-Fusion toka Kenya,Dan ‘Chizi’ Aceda atakua msanii wa kwanza toka Kenya kushiriki kwenye Lake of Stars Festival aka Malawi’s Annual International Arts festivalDan Chizi atakua miongoni mwa wasanii 70 akiwa anaiunganisha Kenya na Malawi,na tamasha hilo litafanyika September 30 mpaka October 2,2011 pembeni mwa Ziwa Malawi ambapo washiriki toka Namibia,France na United States pia watapiga show...!
KWA HISANI BONGO FLAVER LINK







