
Kwa mujibu wa Forbes Magazine imetoa list mpya ya wasanii Tajiri wa Muziki wa Hip Hop Cash Kings Duniani,Forbes imetoa taharifa hiyo juzi August 9 kwa mara nyingine, Rapper Hip-Hop Cash Kings Jay Z ameibuka kinara kwa mara nyingine,Akiwa anakisiwa kuwa na umiliki wa mali zenye thamani ya $-37 Million, wengine waliomfuatia ni..
P-DIDDY - $-35 Million,KANYE WEST - $-16 Million,LIL WAYNE na Baba wa kusaili BIRDMAN kwa pamoja wanamiliki - $-15 Million, DR. DRE - $-14 Million, SNOOP DOGG - $-14 Million,EMINEM - $14 Million,AKON -$-13 Akon, LUDACRIS - $-12 Million,WIZ KHALIFA - $-11 Million, DRAKE - $-11 Million,PHARELL WILLIAMS - $10 Million,TIMBALAND - $7 Million , SWIZZ BEATZ - $6.5 Million, Na mwadada NICKI MINAJ mwanamama pekee katika Tansia hiyo yuko katika list ya wasanii 20 tajiri - $6.5 Million
Check out the rest of the Hip-Hop Cash Kings list over at Forbes.







