
Veteran Nollywood actor, Sam Loco Efe,Amefariki dunia,Mauti yamemkuta msanii huyo mkongwe saa 7 mchana leo August 9 akiwa katika chumba cha hotel moja ambayo yeye ndie alikuwa mmiliki, huko Owerri, Imo State, Southeast Nigeria, ambako alikuwa katika shughuli zake za kutengeneza filamu...
Rais wa wacheza filamu wa Nchini humo amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kudai kwamba msanii huyo mpaka mauti yanamkuta alikuwa na umri wa miaka 66...







