Wakati ni hivi majuzi tu kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma kusifia bendi kongwe nchini kwamba ndiozo bendi pekee ambazo mpaka sasa ndizo zinadumisha utamaduni wa Mtanzania na Africa kwa Ujumla..huku akitoa shutuma kali kwa wasanii wa bongo flever kuwa baadhai ya wasanii wamekuwa wakikiuka utamaduni wa Mtanzania na Mwafrica kwa ujumala kutoka na sababu mbali mbali..
Kuonyesha kwamba wao wako juu, kwa mara ya kwanza bendi hiyo imepata Tunzo ya Best Group of Rumba Music,katika kilele cha East Africa Music Award (EMAS),Kwa upande wa nyimbo za dini mwanamama Christina Shusho amejinyakulia kwenye tunzo ya mwanamuziki bora wa nyimbo za Injili

Habari kwa hisani ya Runinga ya Itv ambayo inarusha kilele cha Tunzo Hizo live kutoka Nairobi..