
Katika mahojiano ya hivi karibuni na shirika la habari la Associated Press Mwanamuziki Amabaye pia ni mama mtarajiwa,anatarajiwa kuanzisha Lebo yake binafsi ya kurekodi Muziki \
"natajia kuanzisha kampuni (lebo) yangu binafsi ya kurekodi muziki.nataka kuanzisha bendi ya wanaume watupu ili kusaidia katika harakati zangu za kupromoti manukato yangu mapya ambayo yanajulikana kama Pulse..







