Google PlusRSS FeedEmail

MWANAMUZIKI WA ENZI HIZO AFARIKI



                       Kasaloo akiwa na wanamuziki wenzake wakati wa uhai wake.

"Kasaloo Kyanga amefariki dunia leo alfajiri. Papaa Tshimanga amenithibitishia. Taarifa zaidi bila shaka zitapatikana. Siku njema". Hii ni sms ambavyo imetumwa Nkoromo Daily muda mfupi uliopita ikieleza hivyo kutoka kwa mdau mkubwa wa masuala ya muziki wa dansi hapa nchini hususan miondoko ya Kavasha..

KWA HISANI YA BASHIRI NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging