Google PlusRSS FeedEmail

PRO-24 INAKULETEA MATUKIO MUHIMU WAKATI NA MARA BAADA YA SIKU YA IDDI


   
Mara baada ya mapumziko marefu takribati wiki tatu hatimaye wale majijanaaa kupitia kampuni yao ya Pro-24 imeanza tena ratiba zake za kukupa raha wewe mdau wa Burudani,na hii ni ratiba fupi ya Pro-24 kila Jumatano ya wiki vijana wa pro-24 wanakualika ndani ya masai club kinondoni,uje ujionee mwenyewe vijana wanavyoweza kukupa raha kupitia muziki,Ijumaa ijayo mbalamwezi kama kawa ila kwa wewe ambaye uko Mkoani Iringa ungana na Pro-24 ndani ya Vip club..

Picha zifutazo ni za siku ya jana katika Tamasha la Step up Pleyer lililkofanyika mbalamwezi beach club...

                                       Mdau akiwa King kiff na Dj Tass na Challe  Pro-24

                                                                        



 Mbaramwezi_zila_face1


                       

                                                       Mdau akionyesha Rasta zake

               Sound Man wa Pro-24  Polo akiwa anaweka mambo sawa ili kupisha kazi ianzee
Hapa anaonekana Dj Zero na Mc wa Step Up Pleyer Babuu wakiweka Ratiba sawaa 
Godzila na Dj Choka Wakiwa na wadau wa Beki 3 wakishow love na Camera ya Pro-24
Mavijanaa wakijiandaa kupanda kwenye Jukwaa
Kazi ilianza hiviiii

Endelea kufuatilia matukio gwede gwede yatakujia hivi punde  hapa hapa www.Pro-24.net....

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging