mtaa,"hiphop ndo maisha yetu everyday na revolution goes on and on,Mafans wategemee album yetu ya "Ungalimi to Queens" hivi karibuni",asema FiDO.Kama kawaida chrus hapo kasmamia Lavosti na verse ya pili Ibra da Husla,Verse ya tatu kakanyagia "Bobray"...Harakati zingine mbali na kurecord audio za kumalizia album ni video shooting ya nyimbo kadhaa na leo 2namalizia video ya "Situations" chini ya
camera za hoodpixx kwa usimamizi wa mtu mzima DEFXTRO wa Noizmekah..









