
Nyota wa muziki wa kizazi kipya Mwana Fa, amesema kwakuwa ni mwenyekiti wa chama cha Wasanii Tanzania basi anatoa nafasi kwa mwaliko wowote kwaajili ya shughuli za kujitolea kuchangia na kusaidia waathirika wa ajali ya Meli ya Spice Islanders.
KWA HISANI YA BONGO 5







