Google PlusRSS FeedEmail

BAADA YA UKIMYA WA MUDA - CMB PREZZO ADONDOSHA SINGLE VIDEO YA SINGE MPYA NA VIDEO YA NGOMA HIYO IKO NJIANI

Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka Nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4 SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima:


Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging