Google PlusRSS FeedEmail

BELLE 9 CANNIBAL KUTOKA MOMBASA WAFANYA KITU CHA PAMOJA

Ni ujio mpya kabisa wa Belle 9 akiwa kitofauti zaidi raundi hii akiwa amemshirikisha msanii Cannibal kutoka Kenya,,,kazi hii ipo katika hatua za umaliziaji,,,''ni mixing tu namalizia ten taratibu nyingine zitafuata,shikrani sana kwa Belle,Cannibal na Provoke music,its been an honour working with all of you'', wimbo unaitwa zaidi ya star,umefanyiwa production na John Blass(John B) wa grandmaster Arusha,,ambaye kwasasa muda mwingi zaidi yupo Jijini Nairobi Kenya..

This entry was posted in

One Response so far.

  1. allan egidius says:

    kwa vile John B ataproduce ilo ngoma basi litakua la kufa mtu hata wasio mfahamu Belle 9 na Cannibal watawakubali tu AMEN.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging