

Wakati akiwa bado kwenye wakati mgumu na akiwa ndio kwanza ameanza utetezi wake,Aliyekuwa Daktari wa mwanamuziki Michael Jackson ameazi wake n..a kusema kuwa yeye na Michael walikuwa marafiki hata kabla hajakuwa maharufu duniani,na aliongeza kwamba Michael alijiua mwenyewe
Katika utetezi huo Dk Murray alisema yeye hakumpatia dawa nyingi za usingizi kama inavyodaiwa na mwendesha mashitaka,wakati wote wa utetezi Dr Murray alikuwa akitokwa na machozi
Kwa upande wa mashitaka umepinga utetezi huo na kusema kuwa daktari huyo anahusika na kifo hicho,inasemekana endapo atakutwa na kosa huenda akafungwa miaka minne jela,au kunyang'anywa leseni yake ya Udaktari
Baadhi ya vielelezo vya ushahidi vilivyobambwa kwenye simu ya daktari huyo ilisikika sauti ya Mj ikisema "nataka watu wakiondoka katika shoo zangu nataka kuwaimbia sikuwahi kuona kitu kama hichi katika maisha yangu"sauti hiyo ilisikika kana kwamba mtu huyo alikuwa mchovu kutokana na dawa hizo,Dk Murray alimpatia Jackson dawa nyingi za kutuliza maumivu zilizochangia kifo chake..







