
Alihojiwa na Jarida la Elle Alisema hakuwai kumpenda mwanamke maharufu,Rihanna alininasa ila kwabahati mbaya yeye hakunipenda na ndio maana penzi lilikuwa la muda mfupi..
"Rihanna alikuwa msichana wa kwanza kuniingia moyoni,nilitumia siku tele,kusoma habari zake katika vyanzo mbalimbali,muda mfupi baadae nikafanya nae track ambayo ilishika chat kote duniani.wakti huo ndio kikachangamka na kuingia katika mtego ambao bado unatesa moyo wangu