FLY BUT GHETTO WARUDI TENA MARA BAADA YA KUWA KIMYA KWA MUDA
Posted on by Unknown
FBG baada ya ukimya mrefu wanarudi hewani na ngoma mpya inayoenda kwa jina "2 STEP",hiphop joint yenye ladha ya Rock & Roll na ndani ameshirikishwa banx na round hii mzee mzima amerap na sio kuimba chorus kama ilivyozoeleka siku zote,Verse ya kwanza amesmama EMP2, Verse ya kati kasimama KC na mwisho amepita banx!..Fbg wapo katika harakati za kumalizia mixtape yao ambayo inakwenda kwa jina "CODEMIXED Vol 1" kama ilivyooneshwa awali katika noizmekah.com,mixtape yenye mchanganyiko wa street & commercial hiphop..