Offside Trick wakimshirikisha Bi Kidude
Kuna Habari ambazo bado sijazithibitisha zinasema kuwa mwanamuziki kikongwe na mkongwe Bi Kidude amefariki Dunia.Bi Kidude ameweza kujizolea sifa kemkem si tu kwa Tanzania bali duniani kote.Habari zilizoenea kwenye mtandao wa jamii wa Facebook zinasema kwamba Bi Kidude amefariki dunia jana huko Zanzibar, Wengi wa walio andika status zao wameshindwa kuthibitisha habari hizo na sisi bado tunaziatilia tutakujuzeni hapa hapa.







