LEO NI JUMATANO UNGANA NA MAVIJANA WA PRO24 NDANI YA CLUB MASAI KINONDONI
Posted on by Unknown
Ungana na mavijana wa pro24djz kila Jumatano wanawakilisha vyema ndani ya Masai club Kinondoni,humo inakuwa raha mwanzo mwisho.Ukikosa basi utakuwa umekosa rahaa...PRO24 LOVE THE MUSIC