MARA BAADA YA KUHUKUMIWA ADHABU YSA KUCHAPWA VIBIKO NA KWENDA JELA MARZIEH VAFAMEHR AKATA RUFAA
Posted on by Unknown
Muigizaji nyota wa Nchini Iran Marzieh Vafamehr amekata rufaa mara baada ya kuhukumiwa kwenda jela na kutandikwa viboko 90 Kesi hiyo ya aina yake imeripotiwa na shirika la Amnesty International,ikisema mwanamama huyo katika filamu hiyo ameonekana akiwa anakunywa pombe wakati akijua ni marufuku kunywa pombe hadharani nchini Iran. Filamu hiyo kwa sasa imemlazimu mwanamama huyo kuishi kwa kificho..Mtayarishaji wa Filamu hiyo Kate Croser amekaririwa akisema ushiri wa mwigizaji huyo ulizingatia majukumu yake kama muigizaji na wasitafasiri kwa mitazamo yao..