Mara baada ya kuwa kimya kwa muda,Hatimaye mwanamuziki kutoka Uganda Michael Ross ameachia kitu kipya.ambacho kiko tofauti sana na ngoma ambazo umeshawai kuzisikiliza, The song is about a girl that Michael likes and she is a good dancer. He insists that we should follow her dance moves and have fun. He continues to describe her saying she has a nice body.
Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la Follow wimbo huo umeandikwa na Moses Radio,kitu ambacho kwa wasanii wa hapa home ni cha nadra sana msanii kukubali kwamba wimbo ameandikiwa na msanii mwenzake au mtu mwingine.wimbo huo umetengenezwa na Producer anakwenda kwa Jina la Washington.







