TMZ - MEDIA TAKE OUT ZAWEKA HADHARANI PICHA ZA WATOTO WA MARIAH CAREY NA NICK CANON
Posted on by Unknown
Baada ya kusakwa kwa muda mrefu, hatimaye watoto mapacha wa mwanamuziki Mariah Carey wamenaswa.Mariah na mumewe, Nick Canon walipata watoto mapacha Aprili 30, 2011 lakini tangu wakati hao,hawakuweza kuoneshwa hadharani.Mtandao wa Tmz umepata picha za watoto hao mapacha na ni wazi kwamba furaha ndani ya faamilia imekuwa maradufu.Watoto hao mapacha, wa kike na wakiume ila wakike ndite aliyetangulia kuona jua na wa kuime ndio alifuatia