Msanii 20% amefikishwa mahakamani mara baada ya kukutwa na bangi katika gari lake aina ya Nadia .Msanii huyo alifikishwa katika mahakama ya mkoa wa lindi mara baada ya kunaswa na polisi akiwa safarini kuelekea mkoani Mtwara kikazi na muda mfupi baadae aliachiwa kwa dhamana.
Chanzo kinasema msanii huyo alikamatwa katika kizuizi cha mamlaka ya mapato Tanzania TRA,na mara baada ya kubaini kosa katika gari yake na ndipo alipofikishwa katika kituo cha polisi baada ya upekuzi ndipo alikutwa na mzigo huo wa bangi.alipohojiwa alikiri ila alipofikishwa mahakamani alikana na kuachiwa kwa dhamana..