
Mara Baada ya kudhibitishiwa Na Madaktari wake kuwa anaweza kupanda ndege kwa kipindi hichi,Mwanamama Beyonce Amesitisha kupanda ndege,kutokana na kuhofia Kujifungua kabla ya wakati.Hv karibuni Beyonce alitakiwa kusafiri na Ndege Binafsi kuelekea huko Miami ila alikataa hata aliposhauriwa na madaktari wake kuwa kwa kipindi hichi bado anaweza kutumia ndege.Yeye alikataa na kusema "kwa sasa nitatumia usafiri wa Barabara zaidi kwa maana nina Pressure Naogopa nisije kujifungua kabla ya wakati"







