Mashabiki na Marafiki wanatarajiwa kutoa Heshima zao Mwisho kwa Hayati Heavy D Alhamisi (Nov. 17)Kwa mujibu wa New York Daily News Imesema kuwa Heshima hizo zitaanza kutolewa majira ya saa kumi na moja alasiri kwa saa za New York Marekani Heshma hizo zitatolewa katika kanisa la Mtakatifu Grace Baptist Church Kanisa ambalo liko katika kitongoji ambacho Rapper huyo alizaliwa .
Miongoni wanaotarajiwa kuhudhuria katika kuaga mwili wa marehemu Heavy D ni pamoja na Sean "Diddy" Combs, Mary J. Blige na wanachama wa Brothers wayans.Heavy alifariki Novemba 8 huko Los Angeles,Nchini Marekani..