JUSTIN BIEBER Will Take DNA Test And Then Sue His Accuser
Justin Bieber amekubali kufanyiwa vipimo vya vina saba ( DNA test) Mara baada ya kuandamwa na Binti ajulikanaye kama Mariah mwenye umri wa miaka 20 tu,kuwa mtoto aliyejifungua ni wa Mwanamuziki huyo.Mariah anadai mtoto alie nae wa miezi mitatu ni wa Justine Bieber ambae walifanya mapenzi siku moja tu huko Carlifonia, kwenye bafu la nyuma ya Stage, ambapo Bieber alipomaliza tu kuperform alimuagiza moja kati ya Baunsa wake amuite Mariah.