Masadali camp toka Arachuga walowahi kutoka na ngoma kadhaa ikiwemo,"wakilisha","tutang'ang'ania mic" na pia nyimbo ya "amani" bila kusahau "nafeel hiphop" sasa wanakuja na pini lao jipya kabisa la "FOOLS SAY",lilorekodiwa pande za noizmekah studios chini ya producer defxtro..Kundi hili linaundwa na ma Mc watatu-Rolion,Maskillz na Superbaster,Hiphop haijafa mazee ni support tu iongezwe,mashabiki zetu watupokee katika game kwenye kazi hii mpya na zingine zijazo ikiwemo single tutakayo rekodi baadae ya "rules may change" na pia project Album ambayo tutaiita "Outmitted"...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








