Google PlusRSS FeedEmail

PATTI LA BELLE ASHITAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA MANHATTAN

Muimbaji wa muziki wa R&B Soul,Patti La Belle,anakabiliwa na kesi katika mahakama moja,nchini Marekani,kwa kile anachodaiwa alimfokea mam aliyekuwa amebeba mtoto mchanga ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miezi 18.Familia ya Kevin na Roseanna Monk,wamefungulia mashitaka mwanamama huyo kutokana na kuwabwatukia kwa kusema "Mnafanya nini hadi mnamuacha mtoto wenu akikimbia ovyo vile Pumbafu"Pia mwanamuziki Patti amedaiwa aliwamwagia maji usoni  mama na mtoto huyo..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging