Google PlusRSS FeedEmail

RAPPER HEAVY D AMEFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 44

Rapper Nguli Heavy D Ambaye jina lake la Linalotambulika na Selikali ya kwao ni Dwight Arrington Myers.Kifo cha Rapper huyo kimetokana na ugonjwa wa mapafu,ambao umemsababishia kushindwa kupumua vizuri.Kwa mujibu Tmz imesema Rapper Huyo alikuwa ametoka katika matembezi yake ya kawaida ikiambatana shopping ambayo aliifanya.Chanzo kimeongeza akiwa katika ngazi katika jumba lake la kifahari ambalo liko katika kitongoji Beverly Hills Heavy alishindwa kupumua,ndipo alikutwa na designer wake ambaye alikuwa katika harakati za kurekebisha nyumba ya Rapper huyo. Adam Mills,ambaye ni designer alipiga simu 911 mida ya saa 11:25 kutoa taharifa hiyo  na watoa huduma wa kitongoji cha Beverly Hills  walifika na kumpeleka Hospital Ila ilipofika saa 7 Mchana alifariki akiwa na umri wa miaka 44
Cops are investigating the death — and so far, there are no obvious signs of foul play. Police are currently at the home.
R.I.P. Heavy D..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging