Mwigizaji maarufu wa Bollywood Shilpa Shetty,amekanisha maneno yalio zagaa nchini India kuwa yeye na mumewe Mr Raj Kundra..Kupitia mdandao wa Bollywood Tv,na kupitia katika ukurasa wake katika mtandao wa Twitter. Mwanamama huyo amesema "huo ni uvumi tu mimi sina ugomvi na mume wangu wananichafua tu na hata sijui kwa nini maneno haya yanazagaa,"pia alipinga taharifa za kuwa na ujauzito kama ilivyoripotiwa hapo awali..