
Wakiwa ndio kwanza ndoa yao ikiwa na suku 71 tu sawa na miezi miwili na siku kama kumi na moja hivi ndoa ya The Superstar wa kipindi maarufu nchini Marekani,Keeping Up with
The Kardashians, Kim Kardashian yuko kwenye hatua za mwisho za kuachana na mumewe Kriss Humphies mcheza kikapu maarufu wa Marekani, ndoa iliyofungwa kitajiri,na walifanikiwa kukwepa paparas kwa kiasi kikubwa...ila kituo kimoja tu cha Televisin cha E cha nchini M arekani ambacho hurusha Tamthilia ya familia hiyo ndicho kilipewa Haki ya kurekodi na kurusha ndoa hiyo ambayo ilitarajiwa kurushwa mwezi huu.Wakati hayo yakizidi kurindima Tmz Jana imemnukuu mwanamama Kim Kardashian akisema kuwa wazazi hao walionyesha kumchukia toka mwanzo wa penzi lao na hawakutaka aolewe na mtoto wao.Na kauli ya mwisho Kriss alipohojiwa Tmz ,alisema wazazi wake walimkubali na kumchukulia Kim Kardashian Mkwe na ni sawa na mtoto wao.







