Umewahi kumuona Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akigonga swaga za Hip Hop? Kwa taarifa yako ni kwamba kiongozi huyo wa Kambi ya Upinzani Bungeni, alivunja swaga na kuufanya umati ulipuke.
Shoo hiyo, ilipendezeshwa na wabunge ambao wengi wao walivamia jukwaa na kuvunja mistari pamoja na Sugu wakati alipoimba nyimbo za Chini ya Miaka 18 na Sugu.







