
Habari zilizotufikia hv punde zinasema Mwanamuziki Abbel Motika Mr Ebbo amefariki Dunia leo asubuhi ,Mara baada ya kuugua kwa muda,huko Jijini Arusha Bila shaka unakumbuka jinsi huyu jamaa alivyotesa enzi fulani za uhai wake hasa kupitia vibao vyake maarufu kama Mi Mmasai,Kamongo,Boda Boda na vyingine Vingi. More Details endelea kufatilia hapa hapa www.Pro-24.net







