Msanii Kanye West ameanza mipango ya maandalizi ya mazishiyake,yatakavyokuwa na akina nani wahudhurie mazishi hao angali yuko hai.Kwa Mujibu wa wa The Sun wamemnukuu Kanye akisema"Nimekuwa na falsafa ya kuamini mwenyewe ambavyo nimekuwa nikiishi.."Kuhusu mpango wake wa kuwepo watu maalumu katika mazishi yake alisema ni mpango uliopo katika fikra zake wakati huu.nataka kupanga timu ya watu watakaosimamia maziko yangu,na wageni watakaohudhuria.sijui ni lini kifo kitanikuta ila sitakuwa mbali na wale wanaotua husia wakati hawajui ni lini kifo kitawakuta
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.