Google PlusRSS FeedEmail

MVUA ZA RASHA RASHA NA BARIDI KALI ZACHANGIA SHOW YA VINEGA KUTOPATA WATU KAMA ILIVYOTARAJIWA

Ikiwa watu wengi wanataka kujua kilichojiri huko jijini Arusha kuhusiana na show ya Anti Virus,Show hiyo ambayo ilikuwa Gumzo Arusha na Vitongoji vyake..Kutokana na  hali ya hewa kwa siku ya jana Dec 18  Jijini Arusha,Watu walijitokeza ila si kama ilivyotarajiwa kutokana na kulikuwa na hali ya Mvua za Rasharasha (Manyunyu)iliyosababisha kuwa na baridi..
Kingine kilichochangiwa watu wengi wamedai kiingilio kilikuwa kikubwa,na kuwafanya mashabiki kushindwa kujitokeza.ila kwa mujibu wa kiongozi wa vinega Hao ambaye ni Mbunge wa Jimbo la  Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi - Mr - 2.Amesema sasa wanapeleka Anti Virus Mbeya ambapo kiingilio kitakuwa sh 300/= tu ili kuwezesha mashabiki kuhudhuria show hiyo kwa wingi..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging