Aunt Ezekiel ‘Gwantwa’ ameficha sababu za kumtosa boyfriend wake waliyedumu kwa zaidi ya miaka miwili, Mwilu Mwilola ‘Silva’Pamoja na kwamba yeye ameficha lakini rafiki yake amemtonya ripota wa site hii kuwa sababu kubwa ya Aunt kumtosa Silva ni uchumi.Rafiki huyo aliyezungumza kwa sharti la kutoandikwa jina lake, alisema, Aunt alichoshwa na tabia ya uvivu ya Silva, kwani alikuwa anamhudumia kwa kila kitu.
“Unajua Aunt alimpata Silva kutoka kwa mwanamke ambaye alikuwa ni kila kitu kwake, kwa hiyo maisha ya Silva ni kupenda kuhudumiwa.“Aunt naye alijitahidi kumhudumia lakini mwisho amechoka ndiyo maana ameinua mikono juu. Jambo la kushukuru ni kwamba wameachana vizuri.“Kuna vitu walinunua pamoja lakini kwa upendo kabisa Aunt amemuachia Silva, amekubali atanunua vingine kwa fedha zake,” alisema ‘shosti’ huyo wa Aunt.Kabla ya kuwa na Aunt, Silva alikuwa kwenye uhusiano na msanii wa filamu, Sara Mwakapala

STORY NA PICHA KWA HISANI YA DEIWAKA