Hamu ya mashabiki waliokuwa wa kisubiri kwa hamu show ya mwanamuziki D'Angelo's. iliingia dosari mara baada kushindwa kutokea katika katika Jiji la Amsterdam..Mara baada ya kuanguka akiwa kwenye stage huko Stockholm,kwa mujibu wa daktari wake alimshauri kutopanda kwa stage jana ili kupisha uchunguzi wa afya yake..D'Angelo's 37-year-old 'Brown Sugar'creator,mpaka sasa hajatoa taharifa rasmi kuhusiana na show ya Amsterdam Siku jana Jan 30 watu walionekana wamefurika katika vituo vya kununulia tiketi,bila mafanikio na milango ilitarajiwa kufunguliwa kuanzia saa 1 kamili usiku saa za Amsterdam
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








