Google PlusRSS FeedEmail

MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA.

Muigizaji mkongwe nchini wa siku nyingi wa sanaa ya maigizo Mzee Fundi Said maarufu kama Mzee Kipara (pichani) amefariki dunia mapema asubuhi ya leo. Mzee Kipara aliyekuwa aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu amefikwa na mauti akiwa nyumbani kwake maeneo ya Kigogo, Dar es Salaam. Uongozi na  wafanyakazi wote wa Pro24 umepokea taarifa hizi za kusikitisha kwa majonzi makubwa na unatoa pole kwa ndugu na jamaa wa karibu kwa kuondokea na kipenzi chao. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.
              

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging