Google PlusRSS FeedEmail

WILL SMITH, JADA PINKETT SMITH: DIVORCE RUMORS SPREAD

Kuna uvumi ambao unazidi kuenea kote Duniani,kuwa mwanamuziki na mcheza filamu na Will Smith na mke wake ambaye nae pia ni muigizaji Jada Pinkett Smith kwa sasa wako katika harakati za kutengana,wawili hao ambao mpaka sasa wameshakaa katika ndoa kwa takribani miaka 14,ambapo katika kipindi cha ndoa yao wamefanikiwa kupata watoto wawili ambao ni Willow na Jaden,ambao nao wamefata nyao za wazazi wao.Ila kabla ya ndoa ya Jada na Will, alifanikiwa kupata mtoto wa kiume Trey kwenye ndoa yake ya kwanza ..Kwa mujibu wa Touch Magazine kuwa mpaka sasa Jada ameshakutana na wakili maharufu wa mambo ya talaka Lawyer Laura Wasser ambaye alishawahi kusimamia talaka za watu maharufu kama Britney Spears and Kim Kardashian kushauriana baadhi vitu kama talaka hiyo itachukua nafasi..The mother of 'Fireball' creator Willow Smith reportedly turned down a film role to star in a Keanu Reeves-directed project so that she could spend time with Willow and son Jaden during this "difficult time."

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging