Katika vitu ambavyo wenyewe wanasisitiza ni kwamba hawana tofauti zaidi ya kukuzwa na mashabiki wao, wanasema tofauti zao ni kujenga muziki wa Kongo lakini kwenye masuala ya kimaisha bado ni marafiki na wanaheshimiana na hili lilidhihirika hivi majuzi baada ya Werasson kupata ajali na JB kuwa miongoni ya watu wa mwanzo kufika kumjulia hali.Angalia Video hii pale JB na Wera walipokutanishwa na kutoa vipande vya wimbo ambao waliimba wakiwa bado pamoja kiukweli inatia raha sana.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.