Mwanamuziki Shakira amejeruhiwa na samaki Maharufu anayejulikana kama Sea Lion,Wakati akiwa mapunzikoni mjini Cape Town Huko Africa ya Kusini,Shakira ambaye akitingisha katika ulimwengu wa muziki kote ulimwenguni kupitia vibao vyake kama Waka Waka na Hipsi Don't Lie alikutwa na masaibu hayo wakati akiwa katika harakati za kumpiga picha samaki huyo kwa kutumia simu yake ya Blackberry,inadaiwa samaki huyo alihisi simu ile ni samaki maana Sea Lion huwa anakula samaki wenziwe.kwa mujibu wa shakira..Shakira aliongeza kwa usema samaki huyo alikuwa akitishia kumrarua kila alipokuwa akipiga picha hizo.muda mchache baadae samaki huyo alifanikiwa kumjeruhi mwanamuziki huyo na .Kaka wa Mwanamuzi huyo alifanikiwa kumwokoa ila tayari samaki huyo alifanikiwa kumwachia jeraha mkononi
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








