Angelina Jolie has always been adventurous. Angelina received her pilot's license in 2005. Years later she still looks excited to be around planes....
Mwanamama muigizaji wa filamu ktoka hollywood nchini Marekani,amefanikiwa kuanza kurusha ndege yake binafsi mara baada ya kupata leseni ya kurusha ndege miaka saba iliyopita,Angelina ambaye amepata mafanikio makubwa kupitia filamu alizocheza na kumpatia kiasi kikubwa cha mapato..Mwanamama huyo mama wa watoto 6 ambaye alishwawahi kutwaa tunzo ya Oscar,alionekana akiwa kwenye ndege yake hiyo hv majuzi,akiwa akiwa na familia yake aliposafiri na familia yake kutoka Van Nuys California....