Google PlusRSS FeedEmail

KOFFI OLOMIDE ATAMBULISHA PERFUME LINE YAKE..

KOFFI OLOMIDE sasa ameintroduce perfume line yake kama wafanyavyo mastaa wa marekani na ulaya kiujumla kujiingiza katika ujasiriamali kwa kuwa na clothing line,perfume line n.k.BB Gout maana yake msichana mrembo mwenye mvuto ambae koffi aliwahi kumuimbia katika kibao kilichoitwa hivyo hivyo BB GOUT ambacho binafsi hukipenda sana kukisikiliza kutokana na mpangilio wake wa sauti pamoja na mashairi mazuri.Pamoja na perfume hiyo mpya kwa kina dada toka kwa koffi olomide ili twende sawa tazama video ya kibao BB GOUT hapo chini na ukisikilize kwa makini.Kina dada kazi kwenu BB Gout perfume by Koffi Olomide ndio hiyo sokoni…kiufupi hili ni bonge la move kwa muziki na wanamuziki wa congo ambalo naona kama limechelewa kutokana na umaarufu wa wanamuziki na muziki wa congo walitakiwa kuwa na product zao kama nguo, perfume, saa n.k. sokoni siku nyingi sana but its a good start...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging