Google PlusRSS FeedEmail

WASHINDI WA KILI MUSIC AWARDS 2012.

1. WIMBO BORA WA RAGGAE.
-ARUSHA GOLD BY WARRIORS FROM EAST.

2. WIMBO BORA WA DANCE HALL.
- MANENO MANENO BY QUEEN DARLIN.

3. WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA.
- DUSHELELE BY ALI KIBA.

4.BORA WENYE VIONJO VYA KIASILI.
- VIFUU UTUNDU BY A.T-

5. WIMBO BORA WA TAARABU.
- NANI KAMA MAMA BY MASHAUZI CLASSIC ( AISHA MASHAUZI).

6. WIMBO BORA WA KISWAHILI.
- DUNIA DARAJA BY TWANGA PEPETA-

7. WIMBO BORA WA AFRO POP.
- HAKUNAGA BY SUMA LEE-

8. WIMBO BORA WA R&B.
- NUMBER ONE FAN BY BEN PAUL-

9. WIMBO BORA WA HIP HOP.
- MATHEMATICS BY ROMA-

10. MSANII BORA ANAECHIPUKIA.
- OMMY DIMPOZ (NAI NAI SINGER).

11. RAPA BORA WA BAND.
- KALIJO KITOKOLOLO-

12. MSANII BORA WA HIP HOP.
- ROMA MKATOLIKI-

13. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA.
- NAI NAI BY OMMY DIMPOZ FT. ALI KIBA-

14. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI.
-KIGEUGEU BY JAGUAR-

15. MTUMBWIZAJI BORA WA KIKE.
- KHADIJA KOPA-

17. MTUNZI BORA WA MWAKA.
- DIAMOND-

16. MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME
- DIAMOND-

18. MTAYARISHAJI BORA WA MAPIGO YA MUZIKI.
- MANEKE-

19. VIDEO BORA YA MWAKA.
- MAWAZO BY DIAMOND-

20. WIMBO BORA WA MWAKA.
- HAKUNAGA BY SUMA LEE-

21. HALL OF FAME.
- TAASISI JKT-

22. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI.
- KING KIKII-

23. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI.
- DR. REMMY ONGALA-

24. MWIMBAJI BORA WA KIKE.
- LADY JAY DEE-

25. MWIMBAJI BORA WA KIUME.
- BARNABA
        PICHA NI BAADHI YA WASANII NA WAGENI KATIKA MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI
Mtumbuizaji bora wa kike ni Isha Mashauzi, Mtumbuizaji bora wa kiume ni Diamond, Mwimbaji bora wa kiume ni Barnaba, Mwimbaji bora wa kike ni Lady Jaydee, Wimbo bora wa Taarabu ni Full Stop wa Khadija Kopa, Wimbo bora wa mwaka ni Hakunaga wa Sumalee, Wimbo bora wa kiswahili wa bendi ni Dunia daraja wa African Stars, wimbo bora wa R&B Number one fan wa Ben Pol, wimbo bora wa Hiphop ni Mathematics...
Wimbo bora wa Reggae ni Arusha Gold – Warrior from the East, wimbo bora wa Ragga/Dancehall ni Maneno maneno wa Queen Darleen ft Dully Sykes, Repa bora wa mwaka wa bendi ni Kalidjo Kitokololo, Msanii bora wa hiphop ni Roma, Wimbo bora wa Afrika mashariki ni Kigeugeu wa Jaguar, Mtunzi bora wa mwaka ni Diamond, Producer bora ni Maneck, Video bora ya muziki ya mwaka ni Moyo wangu ya Diamond.
Wimbo bora wa Afro pop ni hakunaga wa Sumalee, wimbo bora wa Zouk/Rhumba ni Dushelele ya Ally Kiba, Wimbo bora wenye vionjo vya kiasili ni Vifuu Tundu wa AT ft Mwanne, Msanii bora anaechipukia ni Ommy Dimpoz, Wimbo bora wa kushirikiana ni Nai Nai wa Ommy Dimpoz ft Ali Kiba, Hall of fame kwa taasisi imekwenda kwa JKT, watu binafsi ni wanamuziki King Kiki na Remmy Ongala...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging