FAITH Evans, mke wa zamani wa rapa Notorious (BIG), ameingia matatani baada ya kubainika kwamba ameshindwa kulipa kodi kwa miaka 2008, 2009 na 2010 kwa mujibu wa Mamlaka ya kodi ya Mji wa California. Kama Faith hatalipa kodi hizo zinazofikia jumla ya dola 60,357.17 ni sawa na sh milioni 94.Mamlaka hiyo itazigeuza mali zake kama nyumba magari na akaunti zake za benki kufidia deni hilo
FAITH EVANS KUFILISIWA