TATOO Posted on by Zourha Malisa Michoro inapendeza kuchora sehemu mbalimbali katika mwili ila sehemu zenye muonekano huvutia zaidi Michoro tofauti tofauti ni aina moja wapo ya urembo, wanayotumia wanawake wengi kupendezesha miili yao na kufanya kuwa na mvuto