Google PlusRSS FeedEmail

WEMA NA OMOTOLA JALADE WATEMBELEA MITINDO HOUSE



Jana Mchana Muigizaji wa filamu wa kitanzania Wema Sepetu pamoja na Mgeni wake Omotola Jalade kutoka Nigeria ambaye yupo nchini kwa mwaliko maalum wa mcheza filamu wa Kitanzania Wema Sepetu walitembelea Kituo cha kuleleaa watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi Mitindo House ambapo waliwachukua watoto hao na kwenda kutembelea nyumba ya wema kabla ya kwenda kushinda nao Girraffe Hotel pamoja na kucheza nao na kukutana na Ma fans wa Wema na Omotola

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging