Google PlusRSS FeedEmail

EDDIE MURPHY SASA MIKONONI ROCSI DIAZ WA ‘BET


Baada ya kuonekana akiwa na watoto wa Eddie Murphy wiki kadhaa zilizopita, Mrembo Rocsi usiku wa jumapili ameonekana akiwa na mzee mwenyewe Murphy wakati wa red carpet ya maonesho ya kwanza ya tuzo za BET.Rocsi ambaye ni mtangazaji wa BET katika kipindi cha 106&park anasemekana kuwa mwenye baati kwasababu ni miaka mingi tangu Eddie Murphy atoke na mwanamke kwenye umati na mbele ya vyombo vya habari.
                         

                        
                     

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging