Prince william na mkewe Cate wakiingia Centre Court kuchek mechi za robo fainali.
Prince William akisalimiana na Roy, kocha wa kikosi cha mpira wa miguu England walipokutana Wimbledon.
Duh hapa watu watakuwa wanatutolea macho eeh??
Ayaaaaaaaaaahhhh!!
Andy Murray(England) akimshukuru mungu kwa kufuzu hatua ya nusu fainali baada ya kumtoa David Ferrer (Hispania) kwa seti 6-7 7-6 6-4 7-6.