Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA ANOGESHA TAMASHA KWA KUONYESHA MATITI


Tabia ya wanamuziki nyota wa kike kuonesha maziwa yao hadharani wakiwa jukwaani imezidi kupanda chati, baada ya mwanamuziki Rihanna kuonesha sehemu sehemu ya chini ya matiti yake wakati wa onesho la Wireless.

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun nyota huyo wa kibao cha Bajan, alifanya kituko hicho juzi huku akionekana kutaka kuvua kiblauzi chake chote wakati akitumbuiza katika tamasha hilo lililowashirikisha wasanii nguli katika tasinia hiyo ya muziki

Hata hivyo pamoja na kituko hicho akishirikiana na mwanamuziki nguli kutoka Misri, Riri, wanamuziki huyo kama ilivyotarajiwa alizikonga nyoyo za mashabiki baada ya kuweka vionjo vya utamaduni wa nyumbani kwao katika visiwa vya Caribbean

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging